MHE. MARY MASANJA ATEMBELEA OFISI ZA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA

MHE. MARY MASANJA ATEMBELEA OFISI ZA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA

Balozi wa Tanzania Kigali-Rwanda, Mhe. Meja Jenerali Richard Makanzo (kulia) katika kikao na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (kushoto) ofisini kwake.

MHE. MARY MASANJA ATEMBELEA OFISI ZA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA

MHE. MARY MASANJA ATEMBELEA OFISI ZA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja akisalimiana na watumishi wa ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda alipotembelea Ofisi za Ubalozi.

MHE. MARY MASANJA ATEMBELEA OFISI ZA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA

MHE. MARY MASANJA ATEMBELEA OFISI ZA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA

Balozi wa Tanzania Kigali-Rwanda, Mhe. Meja Jenerali Richard Makanzo akimkaribisha Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja alipotembelea Ofisi za Ubalozi.

Dk Ndumbaro kuongoza watu 300 kupanda Mlima Kilimanjaro

Dk Ndumbaro kuongoza watu 300 kupanda Mlima Kilimanjaro

Waziri Dkt. Ndumbaro akizungumza na Vyombo vya Habari kuhusu Jijini Arusha leo kuhusu maadhimisho ya miaka 60 ambapo anatarajia kuongoza watu 300 kupanda Mlima Kilimanjaro

SERIKALI YAPIGA  MAFURUKU USAFIRISHAJI WA MALIGHAFI ZA MAZAO YA MISITU

SERIKALI YAPIGA MAFURUKU USAFIRISHAJI WA MALIGHAFI ZA MAZAO YA MISITU

Waziri Dkt.Damas Ndumbaro akizungumza kwenye kongamano la Uwekezaji wa Sekta ya Misitu mkoa wa Iringa ambalo limefanyika kwa muda wa siku mjini Mafinga

MKANDARASI AKABIDHIWA  ENEO KUJENGA GHOROFA TANO

MKANDARASI AKABIDHIWA ENEO KUJENGA GHOROFA TANO

Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Dkt. Allan Kijazi (katikati) akizungumza na Mkandarasi wa LI Jun Development Construction Company Ltd aliyeshinda Zabuni ya ujenzi wa jengo la Wizara

MALIASILI KUJENGA  JENGO LA GHOROFA TANO

MALIASILI KUJENGA JENGO LA GHOROFA TANO

Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Dkt. Allan Kijazi (katikati) akiwa na Mkandarasi aliyeshinda Zabuni, LI Jun Development Construction Company Ltd wakisaini mkataba wa ujenzi wa jengo…

© 2021 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top