KAMATI YA BUNGE YATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA MKOMAZI

KAMATI YA BUNGE YATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA MKOMAZI

Naibu Waziri , Mhe. Constantine Kanyasu akipigiwa saluti na watumishi wa Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi wakati alipokuwa ameongozana na Kamati ya Kudumu ya Bunge Ardhi, Maliasili na Utal

SERIKALI YAHAMASISHA UWEKEZAJI UTALII KANDA YA ZIWA

SERIKALI YAHAMASISHA UWEKEZAJI UTALII KANDA YA ZIWA

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Constantine Kanyasu akizungumza kwenye ufunguzi wa mkutano wa siku moja uliofanyika jana jijini Mwanza baina ya Wizara ya Maliasili na Utalii…

KATIBU MKUU MKENDA ATAKA WATUMISHI WAJENGEWE ARI YA KUFANYA KAZI

KATIBU MKUU MKENDA ATAKA WATUMISHI WAJENGEWE ARI YA KUFANYA KAZI

Mtendaji Mkuu wa TFS., Prof.Dos Santos Silayo (kulia) akiwa ameshikana mikono na baadhi ya watumishi wakati wa kuimba wimbo wa mshikamano kwenye Baraza la 26 la Wafanyakazi wa Wizara…

MHE. KANYASU ATAKA MAHUSIANO MEMA KATI YA WANANCHI NA ASKARI WA WANYAMAPORI.

MHE. KANYASU ATAKA MAHUSIANO MEMA KATI YA WANANCHI NA ASKARI WA WANYAMAPORI.

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu akifunga Mkutano wa 26 wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Maliasili na Utalii jijini Mwanza.

WAZIRI KIGWANGALA ATOA MSIMAMO VITA DHIDI YA UJANGILI,

WAZIRI KIGWANGALA ATOA MSIMAMO VITA DHIDI YA UJANGILI,

Waziri Kigwangala akisisitiza jambo wakati akizungumza na Watumishi wa Wizara hiyo kuhusu umuhimu wa kutekeleza maagizo kwa wakati yanayotolewa na Viongozi wao

BARAZA LA 26 LA WAFANYAKAZI WA WIZARA  LAFANYIKA JIJINI MWANZA

BARAZA LA 26 LA WAFANYAKAZI WA WIZARA LAFANYIKA JIJINI MWANZA

Waziri Kigwangalla, Naibu Waziri wa Wizara, Mhe, Constantine Kanyasu wakiwa wameshikana na watumishi wengine huku wakiimba wimbo wa mshikamano Daima katika Kikao cha Baraza la Wafanyakazi

TTB NA WADAU KUTANGAZA UTALII KIMKAKATI

TTB NA WADAU KUTANGAZA UTALII KIMKAKATI

Naibu Waziri Kanyasu akizungumza kwenye kikao cha wadau wa masuala ya utalii, madini, usafirishaji, viwanda na biashara, uwekezaji pamoja na mazingira kilichofanyika jijini Arusha

Ministry

© 2019 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top